Z zebigmaster Member Joined Dec 22, 2015 Posts 39 Reaction score 17 Aug 6, 2017 #1 Jeh mwanamke akitunga mimba karibu na siku za hedhi jeh atapata hedhi? Na siku za hatar kwa mwanamke wa mzunguko siku 27-30 jeh siku zake za hatar n zipi. Sent using Jamii Forums mobile app
Jeh mwanamke akitunga mimba karibu na siku za hedhi jeh atapata hedhi? Na siku za hatar kwa mwanamke wa mzunguko siku 27-30 jeh siku zake za hatar n zipi. Sent using Jamii Forums mobile app
BEDUI Jr JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 2,041 Reaction score 2,846 Aug 6, 2017 #2 Hawezi pata hedhi coz Hedhi ni yai lililo alibika inamaana kama yai halikualibika (kurutubishwa) ndipo litunge Mimba Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi pata hedhi coz Hedhi ni yai lililo alibika inamaana kama yai halikualibika (kurutubishwa) ndipo litunge Mimba Sent using Jamii Forums mobile app
BEDUI Jr JF-Expert Member Joined Dec 15, 2016 Posts 2,041 Reaction score 2,846 Aug 6, 2017 #3 Kwanza unapaswa kujua anaenda sikungapi ktkt Hedhi Mkuu Sent using Jamii Forums mobile app