Tafuta mama mwenye hekima na busara na umuulize utapata msaada zaidi kama litashindikana nenda kliniki ya mama na mtoto huko kuna wataalam wa mambo hayo... Siyo kila jambo linapaswa kuwekwa barazana mengine jisetirie faragha.Habari zenu jaman nahitaji msaada jinsi ya kulea au kutunza mimba ikiwa changa ndo mimba ya kwanza sijui chochote naomba mnasidie vitu gani vya kuwa navyo makin au kuacha kbs ktk kipindi iki
Naomba usichukue ushauri online hasa JamiiForums maana huyo ni kiumbe any mistake might lead to damage. JF kuna tabia ya watu ambao kichwani hawako vizuri, kitu hata kama hawakijui watakupa story wanazosikia mtaani ili mradi tu kuendesha discussion au kujaribu kuonekana kua ni smart kumbe ni very stupid. Mwisho wa siku utafata ushauri wao utaumia.

Cha kwanza kaanze clinic wakupe prenatals na folic.....
Jitahidi kula balanced diet..... na kunywa maji ya kutosha hata kama ua kichefuchefu
Epuka kutumia madawa au yoyote bila ushauri wa daktari(hata herbals usitumie)
Epuka kunyanyua vitu viziiiito kwa sasa
Relax na muombe mwanao mara kwa mara
Ukiona hali yoyote ya ajabu wahi hospitali
Hiyo prenantal ni nini
ahaaa ngoja nikatie mimba
ahaaa ngoja nikatie mimba