Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,979
- 3,105
Shikamoo mam"dogo" naomba unipwelepwete....
ngoja nifanye home work tumepewa shuleni leo...halafu nitakupa "unisaishie"mam "dogo" wewe unaweza kunipwelepweta kweli naanza kuogopa unajua..Toka apa, mim mchepuko wa baba ako uwe na heshima, kuanzia leo uwe unajua mim ni ucngizi wa muzee, ukileta jeuri nitamwambia asikulipie ada. hahahahahaha!!!
ngoja nifanye home work tumepewa shuleni leo...halafu nitakupa "unisaishie"mam "dogo" wewe unaweza kunipwelepweta kweli naanza kuogopa unajua..
mam'dogo' halafu nikimaliza home work tutaenda kulala wotee?naogopa mwizi dirishani kulala peke yangu...Alafu nani anakupa hela ya bundle wew mtoto???? Embu kafanye home work kisha ulale,
mam'dogo' halafu nikimaliza home work tutaenda kulala wotee?naogopa mwizi dirishani kulala peke yangu...
halafu ulikuwa hujui dada vero ndo anakuwaga na Baba unapokuwa haupo....pia nimekutumia sms in ur whatsaap mobile phone hujanijibu mbona?imeonyesha delivered and read....Hahahahahaha!!!! Mwee!!! Wew mwambie dada wa kazi akulinde hadi ulale, mim namwangalia mzee anaumwa, mwambie dada vero sawa!???
halafu ulikuwa hujui dada vero ndo anakuwaga na Baba unapokuwa haupo....pia nimekutumia sms in ur whatsaap mobile phone hujanijibu mbona?imeonyesha delivered and read....
Shikamoo mam"dogo" naomba unipwelepwete....
mam "dogo" tangu nilipokuacha kitandani uliamka saa ngapi?,siku nyingine usilale na Jeans bana Aisee...mpaka mkono uliniuma unajua...Lol! Umeniua mbavu zangu mie kha!! Wacha nilale.
mam "dogo" tangu nilipokuacha kitandani uliamka saa ngapi?,siku nyingine usilale na Jeans bana Aisee...mpaka mkono uliniuma unajua...
Duuu kumbe...lile jina lako lingine la halisi kuacha la mam"dogo" kumbe unaitwa vero...mam"dogo" aka Vero naomba unikuze leo...nimechoka kunipwelepweta....halafu niambie nikuite mam "dogo"au Vero jina lako halisi?Niache nina kazi mie, ulilala na vero wew ukajua mim, kweli mwanangu bado hujakua
Shikamoo mam"dogo" naomba unipwelepwete....