princessdecruiz
Member
- Apr 28, 2015
- 26
- 4
Miezi 9, dalili zake ni sauti ya ng'aa ng'aaa ng'aaa, inatokayo katikati ya mapaja. Zingine zooote feki.
Jaman b serious nahitaj kujua
Miezi 9, dalili zake ni sauti ya ng'aa ng'aaa ng'aaa, inatokayo katikati ya mapaja. Zingine zooote feki.
Ulivyokuwa siriaz kutoa kipochi manyoa ulituuliza? Umekula nyama mbichi afu unaogopa kumeza, he he he heee
Kiongozi majibu yako makavu mno, sidhani kama ataweza kuyameza.
Naomba mnijuze jaman,et mimba huanza kugundulika baada ya muda gani na dalili zake huwa ni zipi?
mimba huanzia kugundulika baada ya week mbli..baada ya uchavushaji wa yai...hii ni kutokana na hormone ya HCG(human chorionic gonadotropin) kuwa kwa kiwango kikubwa mwili..ambayo husababisha mabadliko kwenye mwili wa manamke nakuanza tapika, vichefuchefu, body weakness...chils...na mengineyo.
kipimo chaku screen pregnacy ni UPT ambacho hu detect ant-HGC zilizo kwenye mkojo..
wiki1! nenda kapime utupe mrejesho
Miezi 9, dalili zake ni sauti ya ng'aa ng'aaa ng'aaa, inatokayo katikati ya mapaja. Zingine zooote feki.
Chini ya wiki mbili kipimo cha mkojo hakiwezi gundua mimba…??