Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Damu ikiacha kutoka mnaweza kuanza kujaribu tenaWakuu habari,
Nina swali, kama mwanamke alikua mjamzito, mimba ikatoka ikiwa hata haijafika miezi miwili, je kitaalamu mwanamke huyo akae muda gani ndipo abebe mimba nyingine?
Bandika banduaWakuu habari,
Nina swali, kama mwanamke alikua mjamzito, mimba ikatoka ikiwa hata haijafika miezi miwili, je kitaalamu mwanamke huyo akae muda gani ndipo abebe mimba nyingine?
Mke Wangu mimba yake ilitoka ikiwa na miezi sita yani alikua mtoto kabisa, tokea kipindi hicho hajafanikiwa kupata mimba ingine, hata mzunguko wake hauko sawa, tatizo linaweza kuwa nini mkuu?Damu ikiacha kutoka mnaweza kuanza kuharibu tena
Nenda kwa gynaecologist akasafishwe inaitwa DNCMke Wangu mimba yake ilitoka ikiwa na miezi sita yani alikua mtoto kabisa, tokea kipindi hicho hajafanikiwa kupata mimba ingine, hata mzunguko wake hauko sawa, tatizo linaweza kuwa nini mkuu?
Asante sana, kwa makakisio hiyo huduma ya kusafishwa gharama zake zikoje?Nenda kwa gynaecologist akasafishwe inaitwa DNC
Nenda kwa gynaecologist akasafishwe inaitwa DNC
Gynaecologist atawashauri akiwaonaCshauri DNC kama mama yupo stable. System ya uzazi huwa ina natural way ya kujisafisha, DNC iwe ni last option as isipofanyika kwa umakini yaweza kudisturb mfumo wa uzazi
Mkuu, damu iliacha kutoka wiki mbili tu baada ya kusafishwa hospital.1. Anatakiwa atibiwe apone mpk damu isitoke tena.
2. Mama anatakiwa apate muda wa kupumzika, apate chakula chenye virutubisho ili kurecover cells zilizokuwa damaged.
3. Kipindi hiki epukeni "rough sex" ikilazimu mfanye smooth sex!
4. Nashauri: Baada ya miezi 3-6 mnaweza kuamua mimba itungwe ila mjitahidi kwenda hosp mapema baada ya ujauzito kutungwa ili mama achunguzwe ikibidi apewe dawa za kuzuia mimba kutoka au kuvifunga viashiria vya kuharibu mimba!
Kila la kheri
Ni ushauri wa kitabibu, lengo ni kumuandaa mama ili mimba itapoingia mtoto apate mahali salama pa kukulia, pia ni kumsaidia mama awe na afya ya kustahimili ujauzito kuepuka kuharibu mimba.Mkuu, damu iliacha kutoka wiki mbili tu baada ya kusafishwa hospital.
Duuh miezi mitatu parefu kinoma but no way
Umeeleweka bossNi ushauri wa kitabibu, lengo ni kumuandaa mama ili mimba itapoingia mtoto apate mahali salama pa kukulia, pia ni kumsaidia mama awe na afya ya kustahimili ujauzito kuepuka kuharibu mimba.
Haraka haraka haina baraka!