Mimba imenifanya nichukie kuoga

Asubuhi kuwa wa kwanza kuamka harafu mruke huyo baba mtoto,, toka zako nje au hata kakae umsubili aamke.
nakwambia hivi maudhi yote ya mimba atayabeba yeye........
Huu ni uchawi live. Na vipi aliyelala naye akiwa sio baba wa mtoto?
Maana nyie wanawake watu wa ajabu sana, umeolewa na Mshana Jr, unaenda kubeba mimba ya GENTAMYCINE
 
Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.

Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
 
 
Kikubwa malezi tu tena hao wakiume wakiwa wa njee wasumbufu sana
 
Hiyo ya pili inafanya kazi kweli?
 
Unaishi mufindi weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huna akili ya kukaa na wanawake
 
Mimba shikamoo aisee, hii hali ya kuchukia kuoga huwa inawakuta wengi , na kuna ile mtu anaoga ila hataki kubadili nguo. Anakuwa anavaa nguo moja wiki nzima πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ni hali tu mama itapita,baba mtoto muongee akusaidie kuvuka kipindi hiki kigumu , ukishajifungua hii hali itaondoka.
 
Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.

Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
Ni kawaida my dear mie mke wngu alikuwa hataki kabisa kuoga hadi nkawa na kazi ya kumuogesha asubuhi na usiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…