Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Wanawake wajawazito wana dunia yaoHii ilimtokea mama watoto pia , Miaka hiyo nakumbuka alikuwa hataki kuoga wala kufua nguo zake zozote yaani mpaka za siri, wala kuosha vyombo hataki. Yaani nilisafiri nikarudi nakuta nyumba inakaribia kuoza.., Shikamoo MIMBA
Bado hajajifungua nategemea mwezi huu katikati au mwanzoni wa mwezi wa 10.Uamuzi wa busara kabisa, mtoto akazaliwa masikio yamefanana na ya nani?
CHAI iriki hii 😅😅mumeo atakuacha huyo kwa shombo
Mi huwa nafanya na inafanya kazi kweli .Hiyo ya pili inafanya kazi kweli?
Ni kawaida Mimi kabla sijaolewa nilikua nikiona mjamzito yupo rough namshangaa Sana nilivyopata mimba sasa kuna siku nilikua siogo kabisa tena hichi kipindi cha baridi sigusi maji na nilikua sitaki kusuka kabisa kidogo ninyoe kile kipindi Hali ikianza kubadilika mimba ilivyokomaa miezi mitano huko ndio nikaanza kidogo kujipenda Yani mimba ni kitu cha ajabu inaweza ikakubadilisha SanaYaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10
sana nataman waish kweny mikono yangu, ila nawaza moyo wa mke ntaemwoa.Kikubwa malezi tu tena hao wakiume wakiwa wa njee wasumbufu sana
NIPE UJUZI MKUU UMRI UTANIACHA HUU.Huna akili ya kukaa na wanawake
WAZAZIHuu uzi mbona unachangiwa sana na wakina baba
Nilitegemea wakina mama wanaobeba mimba ndiyo waonyeshe uzoefuWAZAZI
WACHACHE MNO JF WAMAMA, TUPO NA WADADA WENGI.Nilitegemea wakina mama wanaobeba mimba ndiyo waonyeshe uzoefu
Tumewaacia mabwana kama mabinti na viherehere vyao na visebengo. Wanajuuua wanawake kuliko wanavyojijua wenyewe. Huwa nasoma comments nasema hiiiiiiWACHACHE MNO JF WAMAMA, TUPO NA WADADA WENGI.
WAMAMA WAPO BIZE KULEA NDOA NA WATOTO
Yaani naoga basi tu ili iwe mradi. Nimetokea kuyachukia kabisa maji ya kuoga.
Ambaye amewahi kukutana na kadhia hii anajulishe alivukaje? Mimba ina wiki 10