Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini unachomekachomeka kiholela bila kondomu?? Haya kapime UKIMWI, kisonono, pangusa na kaswende!kuna limtu limenitega pumbavu....limenasa, lilinikuta nafua akaja kwa bahati mbaya akaniomba kunisaidia nikakubali bali hadi kupiga deki na mengine huko huko....duuuuuuh!. kawa mke wangu naambiwa mimba na nmeletewa home tena wazee wa kanisa wameniletea. Mm hata sijui habari za clinic😀😀😀😀😀...nitakuwa msomaji nami niwe nasikilizia msala wangu home😛
Hongera mkuu.kuna limtu limenitega pumbavu....limenasa, lilinikuta nafua akaja kwa bahati mbaya akaniomba kunisaidia nikakubali bali hadi kupiga deki na mengine huko huko....duuuuuuh!. kawa mke wangu naambiwa mimba na nmeletewa home tena wazee wa kanisa wameniletea. Mm hata sijui habari za clinic😀😀😀😀😀...nitakuwa msomaji nami niwe nasikilizia msala wangu home😛
Hongera kwa kubeba ujauzito.kuna limtu limenitega pumbavu....limenasa, lilinikuta nafua akaja kwa bahati mbaya akaniomba kunisaidia nikakubali bali hadi kupiga deki na mengine huko huko....duuuuuuh!. kawa mke wangu naambiwa mimba na nmeletewa home tena wazee wa kanisa wameniletea. Mm hata sijui habari za clinic😀😀😀😀😀...nitakuwa msomaji nami niwe nasikilizia msala wangu home😛
hahaha, alikuwa mtu wangu tulivurugana kulikuwa hakuna mawasiliano ya simu basi ikawa hivo hahahaKwanini unachomekachomeka kiholela bila kondomu?? Haya kapime UKIMWI, kisonono, pangusa na kaswende!
Nchi gani?wiki 2 ukiwa na uhakika una mimba anza kupanga appointments, wiki nne unaanza kupokea utaratibu wa chakula bora na mazoezi na mapumziko.