Mimba isiyotarajiwa



Usioe mtu ambaye ukukusudia kumuoa, na usilale na mwanamke bila kondom ambaye huna mpango wa kumuoa.
 
Oaaaaa huyoo
 
Unataka experience gani mwenetu?

.......Hiyo mimba siyo yako.
 
Mkuu muoe Mtoto wa watu. Umeshamzalisha.

Kuna jamaa aliwahi kuleta Uzi humu wa kujutia na ilishakuwa too late.

Usipomuoa utamuharibia, sababu itakuwa ngumu sana kwake kupata Mume wa kumuoa.
 
Nilisetiwa na demu niende kumla kumbe alikua na Mimba, Baada ya week ananiambia ana mimba, Nikatunza Banaa..
Kuja kushtuka kajifungua na miezi saba, sikufamoyo nikasema atakua njiti, na yeye mwenyewe akaniambia, uzuri njiti wanajulikana, siku ya pili naenda kumuona mtoto njemba imeshiba balaa, kucheki kadi ana kilo 5 kasoro...khaaa

Sikukaa hata chini, Nikamkataa pale palee....
Kuanzia pale Niliapa kutoendekeza nyege, kuna ulazima wa kula mzigo, Basi lazima nikupime..
Baada ya kama mwaka hivi ndio linanitumia msg ya kuomba msamaha.

Nimeamini wanaume wengi sana wanalea watoto sio wao,
Na imagine kama tungepishana week au siku si ningelizwaa??
 
Mimba isiyotarajiwa ni mimba ipi?

Maana Hadi mnavua nguo na kusex bila kinga hamkujua matokeo yake?

Mkuu, nakusihi uwe mpole Tu, usimpanikishe bint wa watu jitahidi kumpa ushirikiano.

Mnaweza kulea Tu mtoto pasipo mchumba wako kujua.

Mimi ni wewe Kabisa, Sema Mimi nategemea mapacha April na kizuri ni Me na Ke.

Mipango yangu na mchumba wangu iko pale pale, bint nampa ushirikiano vizuri Kabisa.

Unapokuwa mwanaume, Tatizo linapotokea hutakiwi kupanic just relax tuliza akili, Think Twice Hadi upate solution. Sasa Kama umechanganyikiwa hivi uyo bint wa watu atakuwaje?
 
Oa huyooo bintii...unataka amuoe nani?..kijana muaribifuu...hukuwaa na future nayee kwa nini hukumwaga njee au kutumiaa Kinga?..Mnakwazaa Sana nyiee vijana wa hovyoo
 

Ushapanda mahindi, sasa unataka utelekeze shamba...

Ulipokuwa unadinyana kavu ulitarajia matokeo yapi?
 
Na huyo binti kama anajali future yake kwa nini agawe hiyo Mbususu?

KATAA SINGLE MAZA.

SINGLE MAZA NI LAANA.
Mpendwa, siku comment kukulazimisha wewe au yeyote yule akubali single mama. Ndio maana katika ushauri wangu hata mabint nimewashauri kwa kutambua hata huyo binti ana kosa. Kwa maelezo kijana anafanya kazi so kiumri anaweza kuwa mkubwa zaidi ya huyo binti. Alitakiwa kumuongoza.

Utakapokuwa mzazi, ombea kizazi chako kisipitie majaribu kama haya.
So take it or live it. Sikuandika kukufurahisha au kukukwaza.
 
Nimerudia lakini bado sijakuelewa au nirudi kula karotiπŸ₯•?
πŸ˜…πŸ˜… karoti haikutoshi, ongeza na bamia hapo. Iko hivi... nilikutana nae mwanzoni mwa mwaka jana ( mwez wa 3) kajifungua last week ( wiki la mwisho la disemba) au ushajisahau leo ni 2024 bro.
 
Waoe wote
 
Sasa mama hizo hasira nyingi za nini? Binti alkua anajua kua mi nko na mahusiano yangu. Pili alvopata ujauzito mi nilimsapoti kwa mahitaji na Bills zote hadi last week anajifungua, ukatili uko wap hapo? Ubinafsi uko wap hapo?

Manake mi nlkua wazi from the very beginning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…