Mimba jamani

Van l

Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
74
Reaction score
12
Wana Jf, Hivi mtu anaweza kuona dalili za mimba ndani ya wiki moja.
 
kwanini usijaribu? Please tupo bize na X-mass na New YR.
 
inategemea mimi sikujua hadi nilipitisha MP na zile dalili zikaonekana wiki ya nne, lakini wiki tatu nyuma niliumwa sana kiuno nahisi ilikuwa ni dalili but ni nilidhani ni Menstrual pain
 
Pia inawezekana ndani ya wiki moja kugundua kama unamimba kama umedU leo na ulitarajia kupata siku zako wiki moja ijayo na kama mimba imepatikana leo basi utaweza kujua!!!
 
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed ..hizo siku ndizo za kupata mimba..

Kwa hesabu za urahisi unaanza hesabu siku 10 toka tarehe ya kuanza bleed kwa hiyo kunazia siku ya 11 hadi 15 ndizo siku za kushika mimba kwani yai la uzazi linakuwa tayari limeshuka linangoja kurutubishwa na mbegu za kiume
Hesabu siku ya 11 -15 toka uanze bleed ..hizo siku ndizo za kupata mimba..
 
Kuna watu hawapati dalili zozote hadi siku ya kujifungua wanapata surprise. Kuna documentary inaitwa 'i didnt know i was pregnant'. Dalili unataka ukazipeleke wapi? Subiri wiki 2 upime, kama ipo omba Mungu zile dalili za kufukuzwa kitandani na kupokonyana perfumes zisiwepo. Sio sifa hata kidogo!
 
Kuna wengine mimba ikiingia tu, kesho yake full kutapika na uchovu wa hali ya juu!!!
Hivyo km ni mara yake ya pili huyo mama ni rahisi kujua km amenasa
 

umekariri rudi usome swali
 
inategemea mimi sikujua hadi nilipitisha MP na zile dalili zikaonekana wiki ya nne, lakini wiki tatu nyuma niliumwa sana kiuno nahisi ilikuwa ni dalili but ni nilidhani ni Menstrual pain
Dah kunahali kama hii imenitokea,,yani natamani hata tuwasiliane ili uniambie vizuri,maana sina raha,,sijui ntakupataje jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…