Mimba kubwa

Mimba kubwa

From HEAVERN

Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Naimani mungu amewatangulia kwa cku ya leo, mimi nina swali eti n kwanini watu wengine mimba zao huwa znakua haraka na wengine hata huwa hazionekan, je ni sababu gani inakuwa hvo na n vitu gan ambavyo vnasababisha mimba kukua haraka na je kati ya mtu mwembamba na mnene n yupi mimba yake huonekana mapema na n kwa nn? Naombeni mnisaudie.
 
Ni muda tu na mapacha. Mimba ya miezi 8 ni kubwa balaa
 
maumbile mwanamke mrefu mimba hujificha mfupi hunanii na vise versa
 
Back
Top Bottom