Naimani mungu amewatangulia kwa cku ya leo, mimi nina swali eti n kwanini watu wengine mimba zao huwa znakua haraka na wengine hata huwa hazionekan, je ni sababu gani inakuwa hvo na n vitu gan ambavyo vnasababisha mimba kukua haraka na je kati ya mtu mwembamba na mnene n yupi mimba yake huonekana mapema na n kwa nn? Naombeni mnisaudie.