Mimba kuharibika baada ya kutoka damu kama bleed

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
952
Reaction score
1,049
Madaktari mnisaidie!

Dada yangu anateseka sana na tatizo hili akibeba mimba mara baada ya miezi 3 ikifika anasema kama damu inamtoka mara baada ya wiki mimba inatoka! umekuwa.mchezo wa muda mrefu, hospital amepimwa sana hakuna tatizo.zaidi ya kuambiwa apumzike! Yeye amesema kuna rafiki zake wengine watatu wametokewa na tatizo kama, hilo na inasemekana hili tatizo linawasumbua wengi kaasasa.

Tunaombeni msaada wa kiushauri na matibabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…