Mimba kuharibika

kaffir

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
595
Reaction score
387
Chanzo chake ni nini?
Na mwanamke akipata shida hiyo anatakiwa afuate taratibu zipi? Na kupata ujauzito mwingine ni muda gani umependekezwa kitaalamu upite? Naomba majibu madaktar na wataalam wengine
 
Chanzo chake ni nini?
Na mwanamke akipata shida hiyo anatakiwa afuate taratibu zipi? Na kupata ujauzito mwingine ni muda gani umependekezwa kitaalamu upite? Naomba majibu madaktar na wataalam wengine
Chanzo cha mimba kuharibika ni muhimu kifahamike. Aonwe na daktari kuhakikisha mimba imetoka yote salama bila hivyo atakua kwenye hatari ya magonjwa ambukizi.
 
Chanzo chake ni nini?
Na mwanamke akipata shida hiyo anatakiwa afuate taratibu zipi? Na kupata ujauzito mwingine ni muda gani umependekezwa kitaalamu upite? Naomba majibu madaktar na wataalam wengine
#EWE MWANAMKE YAJUWE MARADHI YA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI NA KUSABABISHA TATIZO LA KUKOSA UZAZI ,MIMBA KUTOKA,KUWA MGUMBA AU TASA.


Kuziba kwa mirija ya uzazi kunatokana na mirija ya uzazi ( fallopian tubes) kujaa maji na kusababisha kuziba.
hali hiyo huzuiya yai kushindwa kusafiri kutoka kwenye mfuko wa mayai( ovary) kwenda kwenye mfuko wa mimba ( uteras ).

Hali hiyo husababisha mwanamke kushindwa kupata mimba.

#JE MWANAMKE KATIKA MIRIJA YAKE MIWILI YA UZAZI IKITOKEA
UKAZIBA MMOJA JE ANAWEZA KUPATA MIMBA?

Kuna mrija miwili ya uzazi, mrija mmoja kutoka kwenye kila mfuko wa mayai(ovari) hivo kila mwezi mfuko mmoja wa mayai hutoa yai moja ili liweze kurutubishwa na mbegu ya kiume, na mara chache hutokea mifuko yote kutoa yai moja ndani ya mwezi mmoja.
Hivo ni wazi kwamba kama mrija mmoja umeziba na mwingine upo vizuri basi yai litasafiri vizuri, urutubishaji utafanyika na mimba itatungwa. Lakini athari zingine zaa mrija wa kwanza kuziba itaendelea kuwepo, wanasayansi wamebaini kwamba kuziba kwa mrija mmoja kunaweza kusababishakutiririsha maji kuelekea kwenye mfuko wa mimba na hivo kuathiri kiumbe kipya kwa hiyo mimba inaweza kutoka HII NI MAANA HALISI YA KUZIBA MRIJA MMOJA.

#ZIJUWE SABABU ZINAZOFANYA MIRIJA YA UZAZI KUZIBA NA UZIEPUKE.

[emoji637] Maradhi ya zinaa ni chanzo cha mirija ya uzazi kuziba.

[emoji638] Uvimbe kwenye kizazi ni sababu pia ya mirija ya uzazi kuziba.

[emoji639]Upasuaji kwenye njia ya uzazi ni sababu ya mirija ya uzazi kuziba iwapo sehemu hizo zimepata vidonda na kusababisha makovu kwenye mirija hiyo.

[emoji640]Maradhi ya PID kwa kirefu perlvic inflomatory disease ni sababu ya kubwa ya kuziba kwa mirija ya uzazi haswa mwanamke anapouguwa zaidi ya mara tatu au kwa mda mrefu

Pid ni maradhi yanayo shambulia uzazi wa mwanamke na kusababisha uharibu mkubwa ukiwemo ugumba na kukosa period au period kupanguka

Unaweza kujigunduwa kama una pid kwa dalili hizi



Dalili za ugonjwa huu wa PID huwa ni kama ifuatavyo:

Maumivu ya tumbo chini ya kitovu mara kwa mara,
Kutokwa na uchafu ukeni wa rangi ya kijani au njano aidha ukiwa na harufu au muwasho,
Maumivu wakati wa tendo la ndoa na siku za hedhi kuvurugika.

JITIBU PID NA TABIBU

ZIJUWE DALILI ZA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI NA UTAFUTE TIBA
1. Kupata maumivu chini ya kitovu na kwenye nyonga.

2. Kutokushika mimba zaidi ya mwaka mmoja.

3. Tumbo kuuma kupita kiasi kipindi cha period au kipindi cha kawaida.

4. Kupoteza hamu na hisia ya tendo la ndoa

5. Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.

6. Kutowa uchafu ukeni unaweza kuwa na harufu au usiwe na harufu.

EWE MWANAMKE JITIBU HARAKA TATIZO HILO KWANI LITAKUFANYA UWE MGUMBA NA MWISHOWE KUWA TASA YAANI HUTOWEZA KUSHIKA MIMBA IKIWA LITAKUWA SUGU.

PINDI UNAPOHISI DALILI HIZO KAFANYE VIPIMO HARAKA

VIPIMO VYENYEWE NI Hysterosalpingogram’ au ‘Laparoscopy’ hufanyika ili kufahamu kama mirija tu au imeziba na kuvimba.

NJOO UPATE TIBA HII YA KUZIBA KWA MIRIJA YA UZAZI, KUKOSA UZAZI, GESI,UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, PUMU NA NYENGINEZO

OFISI ZETU ZIPO
DARESALAAM MAENEO YA KINONDON B PIGA NO 0653216061


KARIBU TUKUHUDUMIE

DAWA POPOTE UTATUMIWA.

TAFADHALI SHARE MADA HII ILI WATU WAELEMIKE JUU YA MARADHI YANAYOWAKABILI BINADAMU.
wa.me/255653216061
 
We na mtoa mada nahisi MNA Undugu !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…