Mhali gani wana jamvi
Nini hupelekea kwa mwanamke alokwisha zaa kisha kupitisha muda mrefu bila kubeba mimba takriban miaka 14.
Sasa hivi anahitaji kupata tena mtoto lakini kila akibeba mimba huharibika ikiwa na mwezi mmoja tu
Tatizo Nini hapo?

Aende hospital akafanyiwe uchunguzi itakuwa rahisi zaidi kujua tatizo ,lakini kwa kukisia hivi sababu zipo nyingi inawezekana ikawa homoni haziko sawa , mfuko hauko katika Hali nzuri , damu kureact n.k mpeleke hospital