Mimba kutoonekana kwenye mkojo

isombwe

Member
Joined
May 10, 2015
Posts
89
Reaction score
8
Habari mdau,

Samahani kuna uwezekano wa mimba kutokuonekana kwenye mkojo?

Naomba kupata ufahamu juu ya hilo.
 
Mkuu samahani...hivi ukikutana nayo kwenye mkojo bado itakuwa ni mimbaa??!!
 
n vigumu mkuu kinachopimwa ktk mkojo n hcg hormon ambayo hzalishwa wakat wa ujauzto,so kama n negative bas hakuna ujauzto
 
ina mda gan? kama homones zako kali ht in 1wk itaonekana. othrwise it takes 2wks had 1month ku detect kwenye mkojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…