[emoji28] [emoji28] [emoji28]tatizo linaweza kuwa la muwekaji labda aliweka pembeni au dushe kubwa likasogeza hadi kizazi au labda wakati wa tendo miuno ilizidi hadi zikakosea njia
Ulikosa shabaha[emoji1] [emoji1] [emoji1]kuwekaje pembeni mkuu.kwan sihuwa zinaenda sehemu husika??
asante kwa mchango mkuuNi kuwa yai lililorutubishwa wakati linapoelekea mji wa mimba halifiki na kuishia kwenye mirija.
Causes sijui ngoja waje madr
Ni hatari sana
Labda wanawake (ma dr watashauri zaidi...hiki ni wazo tu) mimba ikifika mwezi au mwezi na nusu kufanya transviginal utrasound...kucheki mapeeema kama kila kitu kipo sawa