Heshima mbele madaktari na wadau wote wa jamvi hili.
Naomba kujua vitu vinavyopelekea msichana au mwanamke mimba kutunga nje ya kizazi na mwishowe kutoka.
Natanguliza shukrani na pongezi kwa jitihada zenu mnazonyesha katika jamvi hili kama wataalamu.