Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Feis buku wewe unasemaje kuhusu hili?shkamoo mwalim! elli!
Nakubaliana na wewe mwalimu, lakini wakati tuko katika wa kutoa elimu ni kitu kifanyike kuhusu matukio kama haya yatakayokuwa yanaendelea kutoa. Zaidi ni kwamba hata kama tutakuwa tumeandaa mazingira na kutoa elimu kiasi cha kutosha, je ni hatua zipi ni sahihi kuchukulia ikitokea jambo kama hili limetokea? Je itakuwa ni sawa kumwadhibu msichana husika??Mjasiramali, mimi naonelea badala ya kusubiri wapate mimba ili tuwape adhabu tungewajengea mazingira mazuri na kuwapa elimu itakayowasaidia, kuongea nao kwani nina mifano ya wale ambao niliongea nao walikiri kubadilika na kutumia akili, si kwamba wameacha kufanya bali wanafanya kwa umakini! pili wazazi wasimame kwenye zamu zao, wasiwaachie walimu wawalelee watoto wao peke yao, .mwisho ni jamii nzima ipate elimu sahihi na sio kuwaadhibu tu! asante Mpwa
Nimekupata mkuu.Sorry nimekosea kutaja jina kumbe ni Mjasiria but I believe umekipata kile nilichotaka kusema eeeh MPWA
hahahah naona mwanafunzi wako anakufuata kila mahali.Feis Buku yeye kaja hapa kunisalimia tu, ntamchapa!
Vipi wale watu wenye kipato na huduma zote wanapopata mimba mashuleni?
Asante Husninyo, kweli ningeamua kuandika yake yote yanayopelekea mimba za mabinti kwa mapana yake, baadhi yetu tungelia kwa sababu yanatisha jinsi vijana wanavyoishi kwenye risk ya hali ya juu...ntaaandaa makal theni ntaipost hapa na kwenye blog yangu japo itakuwa ndefu na wengi hatuna utamaduni wa kusoma vitu virefu bado namini yaweza kusaidia baadae
wewe ni mwalimu mzuri sana. Ngoja nitafute kababy fasta fasta nikalete ukafundishe! Usistaafu hadi nikapate. Lol
Mkuu vipi kuhusu swali nililouliza, wewe una maoni gani?
Mkuu hiyo avatar dah............ kwa hiyo wewe unaona kwamba wanaume wanaoshawishi hivi vibinti hawatakiwi kubebeshwa mzigo kabisa?Mi naona bora makosa yote yangekua ya msichana mana kama alijua kunakupata mimba kw nn alikubali kut*bwa!! halafu videnti vy cku hz vikienda shule vinajiremba kishenzi huwa navitamani!!!
mkuu hiyo avatar dah............ Kwa hiyo wewe unaona kwamba wanaume wanaoshawishi hivi vibinti hawatakiwi kubebeshwa mzigo kabisa?