Chuck j JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 2,366 Reaction score 828 Sep 10, 2013 #1 Naomba mwenye kujua,je unaweza tambua uzto wa mtoto tumboni kwa kutumia kifaa hicho? Wanapata ukubwa wa mtoto,je uzito?
Naomba mwenye kujua,je unaweza tambua uzto wa mtoto tumboni kwa kutumia kifaa hicho? Wanapata ukubwa wa mtoto,je uzito?
measkron JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,782 Reaction score 2,414 Sep 10, 2013 #2 Chuck j said: Naomba mwenye kujua,je unaweza tambua uzto wa mtoto tumboni kwa kutumia kifaa hicho? Wanapata ukubwa wa mtoto,je uzito? Click to expand... Ultrasound ina uwezo wa kujua mtoto atakuw na uzito gani yaani prediction ha huwa haiwezi kwenda mbali na prediction
Chuck j said: Naomba mwenye kujua,je unaweza tambua uzto wa mtoto tumboni kwa kutumia kifaa hicho? Wanapata ukubwa wa mtoto,je uzito? Click to expand... Ultrasound ina uwezo wa kujua mtoto atakuw na uzito gani yaani prediction ha huwa haiwezi kwenda mbali na prediction