Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
Wifi angu kaharibikiwa mimba yake wiki ya 10 aliona dam bila hata kuumwa
Akakimbia hosp mapema Sana wakaambiwa mapigo ya moyo ya mtoto yamepotea.....
missed abortion....akawekewa kidonge chini mtoto katolewa akasafishwa vzuri
Kaambiwa asibebe mpaka miez 6 ipite hapo ndipo anapowaza mimba ya Kwanza after mwaka mzima wa ndoa
Kapata imetoka anauliza ajizuie vp iyo miez 6 na anamme ndani??
Je akibeba after 3 month itakuaje???
Anauhitaji kuliko maelezo Yan
Asanten