Mimba wiki 10 kuharibika

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Wifi angu kaharibikiwa mimba yake wiki ya 10 aliona dam bila hata kuumwa
Akakimbia hosp mapema Sana wakaambiwa mapigo ya moyo ya mtoto yamepotea.....
missed abortion....akawekewa kidonge chini mtoto katolewa akasafishwa vzuri
Kaambiwa asibebe mpaka miez 6 ipite hapo ndipo anapowaza mimba ya Kwanza after mwaka mzima wa ndoa
Kapata imetoka anauliza ajizuie vp iyo miez 6 na anamme ndani??
Je akibeba after 3 month itakuaje???
Anauhitaji kuliko maelezo Yan
Asanten
 
Afuate tu huo ushauri wa daktari, kama kamshauri asubiri miez 6 ipite yeye ana haraka ya nn? Au ndio anataka amfurahishe mumewe na mawifi bila kujua ni hatari. Hiyo miezi 6 sio mingi avumilie tu
 
vumilia binti, kwa afya yako, miezi sita si mingi
 
Wiki kumi mbona bado sio kiumbe hiko mtoto mtoto mapigo yanaanza miezi mitano
 
Wiki kumi mbona bado sio kiumbe hiko mtoto mtoto mapigo yanaanza miezi mitano
Umenichekesha kweli, wk 10 mapigo ya mtoto yanasikika vzr kwenye utra sound, eti miez mi5[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…