only connect
Senior Member
- Dec 26, 2014
- 123
- 67
Ndo maana wanakataa kupima!Tanzania ina bahati mbaya ya kuwa na viongozi wazinzi
wakuu
heshima kwenu
super star wa bongo movie Aunt Ezekiel inasadikiwa ana ujauzito sasa hivi lakini hakuna anayejua ukweli wa ile mimba ni ya nani
lakini sote tunakumbuka superstar wetu huyu wa bongo muvi alisafiri na waziri mmoja wa jamuhuri kwa kipindi kama cha wiki tatu huko ughaibuni kwenda "Kutangaza utalii" je haiwezekani Mh.Waziri pia alitangaza "utalii" kwenye mwili wa supa staa huyu wa bongo muvi?? kuna kipindi huko Nyuma Waziri wetu huyu alisema Marekani inamtaka awe Rais wa JMT lakini sasa hivi huyo waziri nae katangaza rasmi nia ya urais
kama ndoto za waziri wetu huyu zikitimia basi tusishangae kusikia "First lady" wa JMT ni Aunt Ezekiel
Nawaza kwa sauti
Tukutane October
Professor kilaza
Unamtaka?Mmmmmmm kwani mumewe aliachana nae
kumbe Aliacha Ile Tabia Yake Ya Kupenda Kutoa URODA Kinyume Na Maumbile Kwa Kumpa Tsh Milioni Moko Na UNA MGEGEDA Ktk Ile Gari Yake? Hongera Zake Kwa Kuamua Kubeba Mimba Sasa ILA Atawapa Sana Kazi Ya Ziada Manesi Siku Yake Ya Kujifungua Kwani Itabidi Waandae Pamba Za Kumzibia KONTENA Zima! Mazingira Ya Coco Beach Yangekuwa Yanaongea Hakika Yangeshuhudia Mengi Ya Kumhusu MBEBA MIMBA Huyu. Gari Yake Ukipanda Basi Ushukapo Itakubidi Utafute Bafu Ukaoge Kwani Inakuwa Na Kipafyumu Cha Nnya Itokanayo Na Tabia Yake Ya Kupenda Kuruka Ukuta Wa Shamba La Bibi.
Eti nini...!!!
Kama Nilivyoandika Hapo Na Nina Hakika Nalo 100%. Sibahatishi Mkuu Ya Kile Nikiandikacho Humu Na Hata Yeye Akisoma Hii Post Yangu Aibu Itamshika. Na Haya Ni Machache Tu Mkuu au Unataka Nikuzidishie Dozi Yake Ufaidike Zaidi?
Mkuu Ritz tunaweza anzisha mada yetu hapahapa.Serikali imechomoa mswada wa Kadhi kwa madai ya kujipanga.kumbe serikali huwa haijipangi?!!Tusishushe hadhi ya jukwaa la siasa kujadili mimba ya Aunt Ezikiel.
Tusishushe hadhi ya jukwaa la siasa kujadili mimba ya Aunt Ezikiel.
Hii habari umeinyofoa kwenye gazeti la JAMHURI la lini?wakuu
heshima kwenu
super star wa bongo movie Aunt Ezekiel inasadikiwa ana ujauzito sasa hivi lakini hakuna anayejua ukweli wa ile mimba ni ya nani
lakini sote tunakumbuka superstar wetu huyu wa bongo muvi alisafiri na waziri mmoja wa jamuhuri kwa kipindi kama cha wiki tatu huko ughaibuni kwenda "Kutangaza utalii" je haiwezekani Mh.Waziri pia alitangaza "utalii" kwenye mwili wa supa staa huyu wa bongo muvi?? kuna kipindi huko Nyuma Waziri wetu huyu alisema Marekani inamtaka awe Rais wa JMT lakini sasa hivi huyo waziri nae katangaza rasmi nia ya urais
kama ndoto za waziri wetu huyu zikitimia basi tusishangae kusikia "First lady" wa JMT ni Aunt Ezekiel
Nawaza kwa sauti
Tukutane October
Professor kilaza
keep the fire burning. ..
Kwi kwi kwi kwiiiiiiiiii kimekatikiamo