Bila salamu hiyo..
Mabinti hubaki kuzurura tu baada ya kuzaa. No direction of life hubaki nyumbani tu kama Volunteer House girl.
Hawa nazungumzia wale mabinti wanaomaliza la saba na kidato cha nne. Wanakuwa totally 'immersed' huvurugikiwa kabisa sana sana kuanzisha viujasiriamali vidogo vidogo. Umri huo wanakuwa wanapenda kila kitu kilicho mbele yao.
Vijana wa kiume wakiwaona hawa mabinti huwalia timing kama mpira wa kona then huwashtukiza kwa mashuti ya mbali na karibu wakishawaharibia tu basi hutoka nduki.Kama ni kijana wa boda basi hata salamu hakuna.Akimuona tu humpita barabarani humpita kwa spidi kali kama anawahi kuzika vile.
Lakini kabla ya mimba huwapakiza mishkaki hata sita kwenye boda yake wakikumbatiana kwa madaha.
Mabinti hupaparika sana umri huu na huvurugikiwa.. No dini No maadili. Wanarukaruka tu. Vigodoro kama maandamano ni hatari sana.
Ukipata binti ametulia umri huo mshukuru Mungu.
Wazazi nao ndio hivyo wanajitahidi kuwasaidia anashindwa anabaki kumuangalia tu. Hali ndio imekiwa hivyo.
Serikali inajaribu kubadili mtaala wa elimu ili angalau watoto wanaomaliza kidato cha nne angalau waweze kutoka na kitu kidogo cha kuanzia mtaani na hii inaweza ikawa labda baada ya miaka kumi ijayo😟 Kila la heri kwenye huo mpango.Sijui tutafanikiwa??!