moses musa
Senior Member
- Apr 25, 2017
- 164
- 97
Wakuu mm in kjana Nina Mke sina hata mimba ya kusinguziwa kitaa ,nmeona utofauti kdogo kwa wife ,mimba ya wiki inaweza onekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaUkiona simba anakufata na ukamnyooshea tu kidole akafa, ujue kuna MTU kamuua badala yako
Ni Mke wangu ,maana nmeshaanza kuwa na michepuko kusaka mtoto sasa huu mwezi hedhi imetoka vijitone tu!!mimba inaanza kuonekana kwa vipimo kuanzia week 4 na kuendelea week 1 au 2 akienda hospital kupima itaonekana weak positive sign, so ataambiwa arud baada ya mwez kukomfem, vp kuna mtu anataka kukusingizia mimba nini
Yap imaweza ikawa ni mimba au sio mimba mana hedhi hua wakati mwingine inachelewa mpaka hata miezi miwili kama kuna tatizo lolote au ugonjwa, lakini pia mwenye mimba anaweza jua mapema sana, machuchu yata anza kuuma hasa yakiminywa na kujaa kidogo kama hatua za mwanzo, mchunguze kwa hayoNi Mke wangu ,maana nmeshaanza kuwa na michepuko kusaka mtoto sasa huu mwezi hedhi imetoka vijitone tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nashukuruje mummy asante ngoja niyafanyie kaziYap imaweza ikawa ni mimba au sio mimba mana hedhi hua wakati mwingine inachelewa mpaka hata miezi miwili kama kuna tatizo lolote au ugonjwa, lakini pia mwenye mimba anaweza jua mapema sana, machuchu yata anza kuuma hasa yakiminywa na kujaa kidogo kama hatua za mwanzo, mchunguze kwa hayo
Atakuwa ni mjamzito huyumimba inaanza kuonekana kwa vipimo kuanzia week 4 na kuendelea week 1 au 2 akienda hospital kupima itaonekana weak positive sign, so ataambiwa arud baada ya mwez kukomfem, vp kuna mtu anataka kukusingizia mimba nini
Kwa week labda kuanzia two week and plus (2wks+) na hapa tunakuwa tunapima either damu or mkojo ku detect uwepo wa hormone inayoitwa Human Chorionic Gonadotrophin (hCG) ambayo hutolewa na placenta baada ya kijusi kujiattch katika uterine wall...Wakuu mm in kjana Nina Mke sina hata mimba ya kusinguziwa kitaa ,nmeona utofauti kdogo kwa wife ,mimba ya wiki inaweza onekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvo vijotone kwa mama mjamzito huwa vinatokea kipind cha implantantion na wengi hudhani ni period kumbe ni mimba.Ni Mke wangu ,maana nmeshaanza kuwa na michepuko kusaka mtoto sasa huu mwezi hedhi imetoka vijitone tu!!
Sent using Jamii Forums mobile app