Mimba ya muda gani inaweza gundulika?

Yaani kugundua mimba iliyo na wwiki moja ni mpaka uwe na kiwango kikubwa cha ugunduzi kinyume na hapo itakuwa ni illusion tu
 
mimba inaanza kuonekana kwa vipimo kuanzia week 4 na kuendelea week 1 au 2 akienda hospital kupima itaonekana weak positive sign, so ataambiwa arud baada ya mwez kukomfem, vp kuna mtu anataka kukusingizia mimba nini
Ni Mke wangu ,maana nmeshaanza kuwa na michepuko kusaka mtoto sasa huu mwezi hedhi imetoka vijitone tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Mke wangu ,maana nmeshaanza kuwa na michepuko kusaka mtoto sasa huu mwezi hedhi imetoka vijitone tu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap imaweza ikawa ni mimba au sio mimba mana hedhi hua wakati mwingine inachelewa mpaka hata miezi miwili kama kuna tatizo lolote au ugonjwa, lakini pia mwenye mimba anaweza jua mapema sana, machuchu yata anza kuuma hasa yakiminywa na kujaa kidogo kama hatua za mwanzo, mchunguze kwa hayo
 
Aisee nashukuruje mummy asante ngoja niyafanyie kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu mm in kjana Nina Mke sina hata mimba ya kusinguziwa kitaa ,nmeona utofauti kdogo kwa wife ,mimba ya wiki inaweza onekana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa week labda kuanzia two week and plus (2wks+) na hapa tunakuwa tunapima either damu or mkojo ku detect uwepo wa hormone inayoitwa Human Chorionic Gonadotrophin (hCG) ambayo hutolewa na placenta baada ya kijusi kujiattch katika uterine wall...

Kuanzia mwezi mmoja na kuendelea tunaweza ku detect kijusi (embryo) kwa kutumia njia ya ultrasonography ... kila la kheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…