Mimba ya mwezi wa 12, mwisho wa kuona period ilkuwa tarehe tano na mpaka saizi hajajifungua. Ni sahihi kweli?

Mimba ya mwezi wa 12, mwisho wa kuona period ilkuwa tarehe tano na mpaka saizi hajajifungua. Ni sahihi kweli?

Relax mkuu,relaxxx kabsaa ,narudia tena relax subiri mtoto azaliwe kama siyo wa kwako itajulikana tu,hudumia kwa kiasi usijinyime ili yeye apate,fanya as unasaidia mpaka utakapokua na uhakika kuwa ni wako,mtoto wako kumjua ni rahisi kama ni wako lazima kuna tabia au baadhi ya viungo kufanana nawewe mfano,macho,miguu,mikao ya kulala,midomo..

Mimba nyingine zina tabia za kuwahi ama kuchelewa so relax kabisaa.

Ajabu mtoto atafanana naww mbaya.😅
 
Mimba inahesabiwa week sio miezi ukihesabu miezi utafeli mkuu mda ushapita kitambo sana
 
Back
Top Bottom