navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Ni sahihiKichwa cha habari kimetosha,nahitaji maoni mhusika niko nae mbali kwahyo habari za clinic sizijui
Wanayaogopa maisha.Ni sahihi
Watoto wa Kike wanachelewa sana kutoka.
wanafika hadi wiki 40-42
Wasichana kila mahali wanachelewa hadi kuzaliwa yaniMungu bado anaumba humo tumboni. Vuta subira
Miezi 9 ni makadirio tu lakini inaweza kuwahi au kuchelewa kidogo, ingawa kwa hivi vidada vya mjini usisahu kukaa kitaalamu.Kichwa cha habari kimetosha,nahitaji maoni mhusika niko nae mbali kwahyo habari za clinic sizijui
Ni sahihi
Watoto wa Kike wanachelewa sana kutoka.
wanafika hadi wiki 40-42
Wa nane mwishoni au wa tisa mwanzoni anatakiwa awe tayar amejifunguaWasichana kila mahali wanachelewa hadi kuzaliwa yani