Mimba ya wiki 36-37

Mimba ya wiki 36-37

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,516
Reaction score
1,775
Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue...

Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema.

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Standard ni wiki 38. Lakini anaweza kujifungua wiki 2 kabla au baada. Kwa hiyo kati wiki 36-40 mtoto yuko POA kabisa ki afya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue...

Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema.

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app

kwa mimba ya kawaida ni wiki 36 hadi wiki 40 kwahiyo hamna shida hapo mtoto atakuwa na afya nzur tu
 
Back
Top Bottom