Domo kwa promo hajambo,imethibitishwa kwamba ndomo hana uwezo wa kumpa mimba m/ke,penny kakonfirm hiyo na ukisoma kati ya mistari,baada ya hilo dongo ndio domo kaona atoke vipi,kamuomba zari aweke utra sound ya mimba ya mtoto wake wa kwanza ili domo aue soo ya kuwa joka la kibisa.
Mimba ya zari kapewa na Ivan
Vitu vingine tuviache vipite...!!!! Mimba ninini...!!!! Inapatikanaje...!!! Mwanadamu anakuwaje wakati wa kupatikana mimba..!! Ukichunguza kwa undani kabisa utaona ni aibu kuzungumzia suala hilo hadharani hasa kwa jamii yenye maadili mazuri...!!! Ukiona mtu ana mimba ujue kafanywa nini...!!?? Na je walistahili ama wametenda dhambi....!!!!!???? Jamani tuyaache haya yapite tu hayafai kuyajadili katu....!!!!!
Wametaka tuyajadir Mr misifa acngeweka ultrasound tucngejua kua zar ana kibend
Mlaumu domo na co Cc
Domo kwa promo hajambo,imethibitishwa kwamba ndomo hana uwezo wa kumpa mimba m/ke,penny kakonfirm hiyo na ukisoma kati ya mistari,baada ya hilo dongo ndio domo kaona atoke vipi,kamuomba zari aweke utra sound ya mimba ya mtoto wake wa kwanza ili domo aue soo ya kuwa joka la kibisa.
Diamond huyo msupu Akijifungua hiyo Mpe nyingineeee...
We ndo shemeji wa jumuiya ya Afrika masharikiiii.......mwendo wa projectooo