Domo kwa promo hajambo,imethibitishwa kwamba ndomo hana uwezo wa kumpa mimba m/ke,penny kakonfirm hiyo na ukisoma kati ya mistari,baada ya hilo dongo ndio domo kaona atoke vipi,kamuomba zari aweke utra sound ya mimba ya mtoto wake wa kwanza ili domo aue soo ya kuwa joka la kibisa.