Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habar zenu wana jamvi natumain ushaur wenu utanisaidia,nina mimba ya wiki nane cha ajabu gafla nimeanza kuona chembe chembe za damu zkinitoka je iyo hali ni ya kawaida au ndio mimba inatoka csikii maumivu ya tumbo
Yan naogopa sna anyway thnx kwa ushaur
Poa, mimi kuna shemeji yangu alikuwa na hali kama ya kwakk sema tofauti kati yako na wewe ni kwamba yeye aliumwa na tumbo!
So nn kilitokea mjumbe?
Habar zenu wana jamvi natumain ushaur wenu utanisaidia,nina mimba ya wiki nane cha ajabu gafla nimeanza kuona chembe chembe za damu zkinitoka je iyo hali ni ya kawaida au ndio mimba inatoka csikii maumivu ya tumbo
Du pole sana mkuu.Hii post inanipa machungu kweli...juzi tu tarehe 22 mimba ya mpenzi wangu imeharibika....ye tangu amepata mimba tumbo lilikuwa linamsumbua sana na mara chache alihissi vidamu damu...j3 ilikuwa aanze kliniki ila usiku wa siku hiyo alianguka chooni na mimba ikaharibika.....ooooopss tayari nlikuwa na ndoto nyingi..daaagh