Mimba yangu jamani

Una watoto wa ngap? Na hapo kabla ushawah kutoa au mimba ishawah kutoka? Maelezo km hayo na mengine yanamrahisishia daktar kujua tatizo lako so ni muhim kumuona doctor upate msaada haraka badala ya kusubir ushaur huk JF
 
There is no point in panicking my dear. Go see a doc. Sending prayers your way.....
 
Habar zenu wana jamvi natumain ushaur wenu utanisaidia,nina mimba ya wiki nane cha ajabu gafla nimeanza kuona chembe chembe za damu zkinitoka je iyo hali ni ya kawaida au ndio mimba inatoka csikii maumivu ya tumbo

Mimba inatishia kutoka,wahi hospitali
 
Habar zenu wana jamvi natumain ushaur wenu utanisaidia,nina mimba ya wiki nane cha ajabu gafla nimeanza kuona chembe chembe za damu zkinitoka je iyo hali ni ya kawaida au ndio mimba inatoka csikii maumivu ya tumbo

nenda kwa doc akakutie dole huko chin apime njia kama imefunguka, it may be threatened or inevitable
 

so cory najua hw much inapain too bad na mm yakwangu imeshaaribika nipo na machungu tele apa nilipo cz mipango yngu yte imearibika
 
Me nilipata hilo tatizo week ya 14,nilikuwa natoa spot za damu..nilienda kwa daktari akanifanyia vaginal examination kuangalia xstics ya damu na njia na nilifanya ultrasound mtoto akawa yupo ok na cervix ilikuwa imefunga..so nikapewa bed rest ya week mbili. Damu iliendelea kutoka japo c nyingi ya kuvaa pedi na baadae ilikata na sasa nipo week ya 38 nasubiri kujifungua...

So uckate tamaa wala kupanic muhimu ni kumwona doctor afanye uchunguzi.. Na maombi pia bila kusahau. Coz me before that scernario nilikuwa naota ndoto za kubleed nikakemea hiyo hali na Mungu ni mwaminifu akamwokoa mtoto wangu.
 
Pole sana my dia. Kimbia haraka kamuone daktari na usisahau maombi. Mimba zina maharibu sana. Watu husema mimba sio ugonjwa ila wanawake tunapitia kipindi kigumu sana. Wahi hospitali na ongea na Mungu wako bila kuchoka. Akipanga yeye hakuna atakayepangua. Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…