JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika.
Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa haki kwa Watoto.
Upvote
0