JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Irekebishe Sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ili ijumuishe kifungu ambacho kinaruhusu Wanafunzi waliojifungua kuendelea na elimu yao.
Irekebishe Kanuni Na. 4 ya Kanuni ya Elimu (Kufukuzwa Shule na Kukatishwa Masomo) ya 2002 kwa kuondoa “ndoa” kama sababu ya kufukuzwa Shule, na kuongeza kufungu kinachosema wazi kwamba mimba na ndoa sio sababu ya mwanafunzi kufukuzwa Shule au kukatishwa masomo.
Upvote
0