Mimba za utotoni

Mimba za utotoni

Joined
Jan 15, 2013
Posts
77
Reaction score
27
Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti mara kwa mara yakuwa; mabinti wengi hawahitimu masomo yao kwasababu ya kupata ujauzito (mimba za utotoni).

Mtoto anaweza pata ujauzito?

Wanabaiologia; hii kauli ya mimba za utotoni, iko sahihi kulingana na taaluma yenu?

Wana JF; mawazo yenu ni muhimu, binafsi sidhani kama kuna mimba za utotoni labda tukitumia tafsiri isiyo sahahi kumtafsiri mtoto.
 
Kwamujibu wa sheria ya Tanzania; nimesikia mtu under 18 anatafsiriwa kuwa ni mtoto, mimi sidhani kuwa ni sahihi, ndio maana nahitaji mawazo tofauti na law.
 
Back
Top Bottom