Mimba

onanii

Member
Joined
Jul 19, 2017
Posts
8
Reaction score
3
Msaada plzzzz jf doctors nina miezi mitatu tangu niolewe najitahid kufuaatilia ovulation days ilinipate ujauzito nmeambulia patupu na cycle yang inabalikabadilika 28,29&30 naomben ufumbuzi nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa mvumilivu bibie achia body kitu kitajipa
 
Miezi mitatu michache sana. Vuta subra pamoja na sala.
 
Mpe mumeo kwa staili ya kichuma mboga akikutandika ub.oo unagusa kuleeeeee akikujolea shahawa zinaenda zinatuama kunako ,fasta tu kitu tyr. Kumbuka kuhakikisha anakula vyakula vyenye kutia nguvu mwilini ,mle kwa wakati na mpate muda mzuri wa kupumzika kabla hujampa hiyo papuchi anakudinya kisawasawa mambo yatakuwa mujarabu
 
Labda una matatizo kwenye mfumo wako wa uzazi...Nakushauri nenda hospital kwa msaada zaidi
 
Njoo Pm kama hutojali. Sijawahi kumwacha mwanamke yeyote salama kama kweli anahitaji mimba.
 
Nashukuru ntajitahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…