Mimba. . . .

kuna wanaotoa hata wakiwa albam
kisa 'watoto wamepandiana sana' na hakuwa amepanga kuwazaa kwa kuacha muda mfupi sana.

Dah, yaani hii nayo ngumu.


Kuna mtu kasema hapo juu kuwa single.
 
Kwakweli twendeni na hali halisi nafikiri ipo haja bila ya msukumo wa dini yetu suala la kutoa mimba liruhusiwe
kutoa mimba ni sawasawa na kuua so unachosema ni kwamba kuua kuruhusiwe.
 
kama mwanaume amekataa na umepima mwenyewe umeona huwezi then toa,single parenting is not an easy ride.......

Wakati unafanya hicho kitendo hukujua kuwa hawezi au anaweza kulea? be serious single parenting inawezekana ukiwa na roho ya huruma na uchungu kwa kile kiumbe unachokikatili maisha yake wanawake tuache u-goal keeper wa kusubiri penalt au mpira kuingia nyavuni chakarika mtoto wa kike mi nadhani mama ukiwa na nidhamu na maadili single parent inawezekana
 
Majuto ya nini kama short cut ipo mwanaume kakataa mimba na binti haupo tayari kulea solution ni kuitoa ila umakini wahitajika cause kizazi chaweza kuharibiwa.
kama unapenda mtoto kamwe hautajuta kumzaa hata kama mwanaume amekukataa na hata kama hauko tayari kulea hauwezi kutoa mimba.
 
dont play sympath card, am sure huyo mtoto atakushangaa akikuona unamlea kwa mateso kwa nini hukumtoa....
am not my dear, hicho nilichokiandika kimetoka moyoni mwangu tena kwa machungu, ni bora huyo mtoto niteseke naye kuliko kumuua kwa ukatili mkubwa kama huo uku akilia machozi mama usinitoe, mama usinitoe na akiangaika uku na kule kutafuta msaada ili asitolewe ila wewe uku ukiwa unafurahia, believe me my dear one day you gonna pay for it hapa duniani na hata uko ahera utalipa machungu na mateso uliyompa yule mtoto wakati unamtoa.
 
Lizzy,hapo kwenye red naona umekuwa too simpilistic.Anayetoa mimba si lazima awe hana akili timamu au awe hana uwezo wa kutunza mimba na kulea mtoto.I don't condone abortion lakini tuwe realistic kwamba anayetoa mimba anakuwa ana sababu zake and there is no way we can wear her shoes.Huenda wewe hayajakukuta lakini vyema wahusika wakatoa sababu zao za kufanya hivyo.Tusidanganyane hata humu mmu naamini kwa dhati kabisa kuwa watoa mimba wamo,naomba wajitokeze watupe darasa hapa ili tuachane na nadharia.
 
SL you are missing a point,inawezekana kabisa na hutokea mara nyingi mwanamke akaamua kwa hiari kupata mimba baada ya kushauriana na mwenzie (yaani kunakuwa na mutual consent),tatizo linakuja baada ya mimba kuingia mmoja anakiuka makubaliano ya pre-mimba kuingia,ndo mana nasema ni vyema tukawasikiliza watoa mimba (naamini wamo humu mmu) ili tujue nini kiini hasa cha maamuzi haya mazito.Tuache kuhukumu jamani!
 
we konnie we,hivi habari za kutupwa Isanga zilikuwa feki au aspirin kakusaidia?
 
Mimba huwa ni ya mwanamke..............Wanaume mara nyingi tunasingiziwa tu!
 

Hapa ndio tatizo, tena linaletwa hasa na wanaume ambao hawaogopi STDs kwa raha ya nusu dakika.
 
Hasa ukikumbuka kua wanaume hawateseki sana kama wanawake
yeye ataendelea kusoma/kutumika, chances zake za kuoa hazipingui etc.
Kuna wanawake wengi wanasimama tena baada ya unwanted pregnancy
ila wengi ninao wajua wanakata tamaa na maisha yao yana 'haribika'.
But Mwanaume akimaliza hapo maisha yake wala hayana tofauti na mwanzo
 
Bishanga kama umenisoma vizuri utagundua kuwa mie sijawahukumu watoa mimba, nilichosema ni kwamba hakuna mimba za bahati mbaya labda kwa aliyebakwa tu... Mie siku zote napenda kuwa wa mwisho kumhukumu yeyote!
 
Bishanga kama umenisoma vizuri utagundua kuwa mie sijawahukumu watoa mimba, nilichosema ni kwamba hakuna mimba za bahati mbaya labda kwa aliyebakwa tu... Mie siku zote napenda kuwa wa mwisho kumhukumu yeyote!
hapo nakupata,sasa wenye mauzoefu ya kuchoropoa mbona hawajitokezi tukasikia their side of the story? mi naamini wamo tu humu mmu ila wamebana.
 
Labda niulize tu wakuu wenzangu,kuna huyu bibie ambaye mume wake yuko nje ya nchi kimasomo.Huku nyuma bibie akapata kitulizo cha kiarabu.Kutahamaki ameshika ujauzito(hapo naomba msiniulize kuhusu uzuiaji wa mimba kwani sikuwepo wakati wa tendo na ikumbukwe kuwa wakati mwingine njia hizi huwa zinashindwa)Swali ni kuwa ataifanyaje hiyi mimba?Atunze ndoa yake au atunze mtoto?
 

bora atunze mtoto kwa sababu hutakaa umnyooshee kidole eti yule jambazi kaua kwa sababu wewe pia unakua muuaji dhamira inauma sana kuliko chochote na itakutesa daima
 
bora atunze mtoto, akubali fedheha .
 
Kina mama wote wangekuwa wasisitizaji wakuu wa kinga haya yote yangeepukwa.......wengi hawajali sana kuhusu kinga na wengi wajalio hushawishika kirahisi kutotumia kinga
 
kushindwa kuelewan/kukiuka makubaliano kamwe haiwezekani kuwa warrant ya kutoa mimba, jamani tuueshimu uhai!.
 
sister...you sound very genuine and good woman in your comments.....ngoja nikupe scenario hii alafu useme kama ingekuwa imetokea kwako ungefanyaje!.....chukulia imetokea kuwa wewe umechelewa kurudi nyumbani giza likakukuta uchochoroni...au umekwenda ugenini mara bahati mbaya ukavamiwa na wahuni alafu wakakubaka...mnasema kupigwa mande.....wakakubaka weee...alafu wakakuachia ukajirudia nyumbani kwenu na aibu yako(labda hata ukawaripoti polisi..hata labda wakashikwa na kufungwa)...lakini mwisho wa siku wewe ukajikuta umepata mimba baada ya kubakwa......ebu tuambie unafanyaje kwenye hali hii???....labda mungu kakunusuru wale wahuni hawakukuachia ukimwi(hata kama wamekuachia ukimwi..ukiwahi siku hizi kuna kinga...PEP inaitwa)....tuambie unaifanyaje hii mimba???....Niseme tu masuala ya kutoa/kutotoa mimba ni mjadala muhimu sana wakati huu ambapo serikali inaegemewa kupeleka muswada wa sheria ya kuruhusu utoaji mimba TZ.......labda huu ni wakati muafaka kulijadili hili....ebu tuambie hiyo mimba ya kubakwa we utaifanyaje?????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…