Mimba. . . .

muswada tata wa sheria ya kutoa mimba soon utapelekwa bungeni.......muswada huu unasemekana unakuja TZ kwa shinikizo toka nchi za nje....wataalam wa pro life wameanza kupiga kelele za chini chini...lakini pia serikali(kupitia speaker)wanaonekana kuufagilia huu muswada.....moja ya sababu inayosemwa kutolewa na serikali ni kutumia utoaji mimba kama njia mojawapo ya contraception....haswa kuzikabili zile mimba tata zitokanazo na issues kama rape, magonjwa mabaya ya kurithi....na sana eti kama njia ya kupunguza vifo vya mama na mtoto......kwa kuruhusu utoaji mimba kwenye vituo maalum vitakavyoandaliwa kwa ajili ya kazi hii.......ebu toa msimamo wako juu ya hili..ukizingatia kuwa watu wanaweza kutumia mwanya huu wa legal abortion kutoa mimba ambazo wala hazina shida........your take on this please...na naona iko haja tuanzishe thread juu ya uhalalishwaji wa kutoa mimba TZ.........
 
swali lako gumu ila naomba tu nilijibu kwa uelewa wangu na kwa nafsi yangu.
mimi kama mimi ikinitokea situation kama hiyo sataoa hiyo mimba mana mtoto ana kosa kwanini nichukue jukumu la kumuua wakati hana kosa lolote. i will keep a baby, i real mean it.
 
you are a good girl.....wewe ni a real pro life......michango ya watu kama wewe inatakiwa sana muda huu ambapo serikali itapeleka muswada wa sheria ya kuruhusu utoaji mimba TZ.....lakini labda tena nikuulize swali la msingi kuhusu hili jambo(sorry kwa kukuuliza wewe...wenzako ladies wengi labda watakwepa kujibu)....tuseme imekutokea tena kuwa wewe uko na mpenzi wako..labda mumwe wako...alafu ukapata mimba...alafu baadae wakati unafanya vipimo...tuseme ultra sound na vingine vya damu...ikaonekana kuwa mtoto aliyeko tumboni mwako ana ulemavu wa viungo ambao haurekebishiki kitiba(labda kavimba kichwa au uti wa mgongo au ana sehemu mbili za uzazi au ana mikono mitatu)....ukaambiwa utoe uamuzi wako mtoto umzae au atolewe...wewe utaamuaje??..mume yeye amemkubalia dr kuwa mtoe...wewe je?
 
easier said than done... of course kila mtu angesema hivyo hivyo ingawa, in real life situation, vitendo vingetofautiana
mimi sina sababu ya msingi ya kunifanya nitoe mimba ndo mana nimekwambia i real mean it.
ukijitambua na kujielewa lazima vitendo viendane kwenye real life.
 
mimi nadhani kuna haja ya watu kuona jinsi mimba inavyotolewa then ndo uafiki kama mimba itolewe au laah.
kila mtu kaumbwa kwa mfano wa mungu na mungu anamakusudi ya kumuumba mtu hivyo alivyo so mimi ni nani niukosoe uumbaji wa mungu.
bora nigombane na mume wangu lakini niutukuze uumbaji wa mungu.
 

Mbona walemavu wapo na wanamchango katika jamii kumbuka kila mtu ni mlemavu mtarajiwa kabla ya kufa ee MUNGU NISAIDIE I WILL KEEP THE BABY IT DESERVE TO BE BORN THE REAL AND PASSIONATE MOTHER WILL NOT CHOOSE TO ABORT
 
you are blessed girl....all the best!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…