Mimba...!!!!

samuel faraj

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
1,326
Reaction score
1,265
Eti ndugu zangu mwanamke anaweza kupata mimba siku tatu baada ya kutoka bleed? Menstrutian day yake ni 28days msaaada plz
 
Kwan sperms za mwanaume zinakaa siku ngap katika mwili wa mwanamke
 
huwa inaweza kutokea pia kwan siku 3 baada ya bleed plus zile siku anazobleed km n 4 au 5 au 6 unaweza kukuta siku zmefka 9 au zaid so bado anaweza kushka ujauzito.
 
Eti ndugu zangu mwanamke anaweza kupata mimba siku tatu baada ya kutoka bleed? Menstrutian day yake ni 28days msaaada plz

Nadhani inawezekana..! kama mayai mawili yalikuwa fertilised katika mzunguko mmoja lakini kwa kupishana days za fertilisation, moja likapasuka na yeye kupata bleed yake na hilo jingine likakutana na sperms na mimba kutungwa

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…