Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

M naomba ulizopata
 
Yamenishinda mm
Ndo kutoa mtu ungeweza kama picha tu kuweka kwenye pochi umeshindwa kutoa umpendae JE πŸ€·πŸ½β€β™‚οΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu unasema unapenda short cute πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Mkuu bila dawa yaani kuichora tu au kutoa copy
 
Sijawai fanya ivyo bado ndo maana sielewi
 
Tuletee na mdindadinda
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
mimi najua huu ni mfagio tu, kumbe ni dawa
 
Sasa mkuu akinuiza kwa jina lako wewe dk Nyogoli simipesa inakuja kwako yote. Kwann asinuize kwa jina lake mwenyewe
 
Mvuto wa pesa (mfuko wa pesa na alama za mafanikio).
Mbona wewe unaomba hela za watu wengine sijui uwape nini. Why na wewe usifanye upate mvuto wa pesa huo uzipate nyingi ili hata uwagawie ukoo wako wote muwe matajiri.
Kwanza naomba buku ten hapa nijiunge kifurushi Dr kinyamkera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…