Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
-
- #281
Kama haikuusu achana nayo sijalazimisha mtu alafu sijawai kuomba pesa yako mkuu acha unafkiMbona wewe unaomba hela za watu wengine sijui uwape nini. Why na wewe usifanye upate mvuto wa pesa huo uzipate nyingi ili hata uwagawie ukoo wako wote muwe matajiri.
Kwanza naomba buku ten hapa nijiunge kifurushi Dr kinyamkera.
Kama utaki mkuu achana nayo wenye uhitaj wafanye🙏🏽Mie naona hapa unajitukuza as if utaishi milele wakati u mwanadamu , hapa unataka kuabudiwa ,
Alafu sio nyogoli n dogoli 😂😂😂dk Nyogoli
Dawa kubwa mkuu sema elim yake tu kuijuamimi najua huu ni mfagio tu, kumbe ni dawa
😂😂😂😂Kuna wakina thomasoMkuu sisi ni wakina nani hadi tupingane nawewe?
Kwenye group lako unaomba bana kuwa hii huduma inabidi utoe na hela Fulani. Si ufanye hivyo unavyohubiri ili upate hizo hela unazosema watu wafanye ivyo ili wapate hela.Kama haikuusu achana nayo sijalazimisha mtu alafu sijawai kuomba pesa yako mkuu acha unafki
nautafuta huuDawa kubwa mkuu sema elim yake tu kuijua
Pamoja mkuu🙏🏽Asante sana kwa elimu ya bure,utabarikiwa zaidi
SAsa si umekuja Mwenyewe nilikwita acha kupenda vya mdonyole 😂😂Kwenye group lako unaomba bana kuwa hii huduma inabidi utoe na hela Fulani. Si ufanye hivyo unavyohubiri ili upate hizo hela unazosema watu wafanye ivyo ili wapate hela.
Ungekuwa umeshafanya wewe ukawa tajiri ukawatajirisha na Koo yako.
You need to sweat either physically or mentally otherwise
Mie nakuuliza si ufanye wewe upate hela na ilhali wewe bado unazitaka za watu. Inaonekana wewe unashindwa kufanya kwako utoboe, yaani nashangaa mno ,eti toa utazidishiwa hao wanaohubiri wenyewe hawatoi ili wazidishiwe.SAsa si umekuja Mwenyewe nilikwita acha kupenda vya mdonyole 😂😂
Mbona serikali Ina hela na Bado Ina taka za raia wke,hii boksi yako ya kuhifadhia meno Ina shida sana😂😂🙏🏽Mie nakuuliza si ufanye wewe upate hela na ilhali wewe bado unazitaka za watu. Inaonekana wewe unashindwa kufanya kwako utoboe, yaani nashangaa mno ,eti toa utazidishiwa hao wanaohubiri wenyewe hawatoi ili wazidishiwe.
Mnafanana nao hao jamaa , yaani watu wajinga wataibiwa Kila kukicha
Swali dogo tu nakuuliza wewe unaweza kutembea na dada yako kimahusiano?Mie nakuuliza si ufanye wewe upate hela na ilhali wewe bado unazitaka za watu. Inaonekana wewe unashindwa kufanya kwako utoboe, yaani nashangaa mno ,eti toa utazidishiwa hao wanaohubiri wenyewe hawatoi ili wazidishiwe.
Mnafanana nao hao jamaa , yaani watu wajinga wataibiwa Kila kukicha
Mbona natembeaga naoSwali dogo tu nakuuliza wewe unaweza kutembea na dada yako kimahusiano?
Basi sio kosa lako siwez kukulaumu Wala kubishana na ww tena nishajua kinacho kusumbua samaleko.Mbona natembeaga nao
💪🏾Safi
Waafrika inabidi mtafute dawa ya kuongeza uwezo wa akili, nguvu za kiume unapeleka wapi. Tunashindwa hata kugundua chanjo zote zatoka kwa wasio na nguvu za kiume.DAWA YA ASILI: ITINGINYA
(Inajulikana pia kama mti wa nguvu au mti wa asili wa tiba za kienyeji).
FAIDA ZA ITINGINYA KIAFYA NA KIROHO
Kiafya:
1. Husaidia kuongeza nguvu za kiume.
2. Hurekebisha mzunguko wa damu kwa wanaume na wanawake.
3. Hutibu matatizo ya uchovu wa mwili na kiakili.
4. Husaidia kusafisha mwili wa sumu kwa njia ya asili.
5. Hufufua hamu ya tendo la ndoa.
Kiroho (Kutoa Majini na Vitu Vibaya):
1. Inaaminika kuwa itinginya ina nguvu ya kufukuza majini wachafu.
2. Inatumika kuondoa mikosi, nuksi, na nguvu za giza nyumbani au kwa mtu binafsi.
3. Majivu ya mzizi au magome yake huchanganywa na maji na kunyunyiziwa au kuogea kwa ajili ya kujitakasa kiroho.
MATUMIZI
Kunywa kwa afya:
Chemsha mizizi midogo au magome ya itinginya kwenye lita moja ya maji kwa dakika 15.
Tumia kikombe kimoja kutwa mara 2: asubuhi na jioni kabla ya kula.
Kwa nguvu za kiume:
Changanya unga wa mizizi ya itinginya na asali kijiko kimoja.
Tumia mara moja kwa siku, saa moja kabla ya tendo la ndoa.
Kwa kutoa majini na nguvu za giza:
Chemsha mizizi ya itinginya na maji.
Tumia maji hayo kuoga asubuhi au jioni kwa siku 3 mfululizo.
Wakati unaoga, tamka maneno ya kujitakasa kama: "Mwenyezi Mungu na nguvu za asili, niondolee uchafu na maovu yote yanayonisumbua."
ONYO
Usitumie dawa hii kwa watoto walio chini ya miaka 10.
Usizidishe kipimo, inaweza kusababisha kizunguzungu au kuharisha.
Wajawazito wasitumie bila ushauri wa mtaalamu wa tiba asili.
Hakikisha umetumia dawa hii kwa imani njema na kwa kufuata masharti.
By Doctor dogoli kinyamkela
Ukiitaj masomo zaidi kama haya jipatie kitabu chake iki chenye page 10 View attachment 3347840 zitakusaidia.