Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
- Thread starter
-
- #481
Huo uvivu mpaka wakutafuniwa chakulaKwann mkuu 😂 😂
Si ndio 😂 😂Huo uvivu mpaka wakutafuniwa chakula
Haya sawa nitaacha huo uvivuSi ndio 😂 😂
inatengenezwaje na matumizi yake?Mizizi yake ni tiba ya uzazi...wale wanawake wasiopata mtoto
Anachemsha mzizi wake anakunywa kipindi yupo period mpaka period inapoisha naye anaacha kunywainatengenezwaje na matumizi yake?
Huu tunautumiaga kama dawa ya chango kwa watotoUkiwa na huu mmea huo kwenye picha ujue una dawa ya kikohozi na UTi kwa wakati mmoja!
■■ Wengine huita Kibwelabwezi
■■ wengine Mlavumba
●● Ukiwa na kikohozi sugu
Chuma hayo majani, tafuna na kipande cha muwa ili kupunguza makali/uchungu wa hiyo dawa
Ukitafuna unahisi hadi masikio yanapika kelele za shangwe
●● Kwa magonjwa ya mfumo wa mkojo kama UTI, Chango , kisonono, uvimbe kwenye mfumo wa mkojo
Pika chai ya haya majani
Kunywa mara 3 kutwa
●● Kuongeza Nguvu za Kiume
Tafuna jani 1 kila siku kwa siku 14
●● Pia Ni Tiba kwa Presha ya kupanda ..
●●Na ni Tiba ya Malaria, Matumizi yake chemsha kunywa Mara tatu
Note: kwa Mtu mwenye pressure ya kuView attachment 3225397shuka asitumie hii
shukran mkuuAnachemsha mzizi wake anakunywa kipindi yupo period mpaka period inapoisha naye anaacha kunywa
hii ni elimu mkuu, mkisema inatibu kitu muwekege na matumizi yake.Huu tunautumiaga kama dawa ya chango kwa watoto
Unaitumiaje mkuuMizizi ya Psidium guajava (guava) —bonge moja la dawa za nguvu za kiume, mwanamke wako akiwa mzembe lazima akimbie kitandani.
Mdharau asili hufa kikatiliView attachment 3435560
Babua majani yake kwenye moto kidogo afu pikicha upate majimaji,hayo maji ndoanayopewa mtoto mchanga anaesumbuliwa na changohii ni elimu mkuu, mkisema inatibu kitu muwekege na matumizi yake.
Ni hvo tu.
Zipo mkuuBabu saidia dawa ya kuotesha nywele ya asiri kwa kijana Yani kipara kabla ya uzee,
Pia dawa yakuondoa mvi kabla ya muda
Weka mkuu utasaidia wengi,Zipo mkuu
Upo homeUkiwa na huu mmea huo kwenye picha ujue una dawa ya kikohozi na UTi kwa wakati mmoja!
■■ Wengine huita Kibwelabwezi
■■ wengine Mlavumba
●● Ukiwa na kikohozi sugu
Chuma hayo majani, tafuna na kipande cha muwa ili kupunguza makali/uchungu wa hiyo dawa
Ukitafuna unahisi hadi masikio yanapika kelele za shangwe
●● Kwa magonjwa ya mfumo wa mkojo kama UTI, Chango , kisonono, uvimbe kwenye mfumo wa mkojo
Pika chai ya haya majani
Kunywa mara 3 kutwa
●● Kuongeza Nguvu za Kiume
Tafuna jani 1 kila siku kwa siku 14
●● Pia Ni Tiba kwa Presha ya kupanda ..
●●Na ni Tiba ya Malaria, Matumizi yake chemsha kunywa Mara tatu
Note: kwa Mtu mwenye pressure ya kuView attachment 3225397shuka asitumie hii
Weka mkuu utasaidia wengi,
Pia kitabu tunakisubili