HIV / AIDS NI UGONJWA WA KUSADIKIKA , DHANA INAYOFUNDISHWA NI DHANA POTOFU NA HAINA UKWELI NDANI YAKE.
Dr. Matenyula herbalist 🌳🌱 /Dr DOGOLI KINYAMKELA 💀☠️
Sehemu ya 1
Nikukaribishe Msomaji wangu katika Jarida hili , Lengo ni kukupa Elimu Mahususi ambayo kwa Mda Mrefu huenda hukupata kuijua na kwa MIAKA mingi sana TUMEDANGANYWA WANANCHI Juu ya kitu kinachoitwa HIV/ VVU Mimi sitaeleza mtazamo wangu, bali nitaeleza ukweli ili wengine wenye uwezo wa kuutambua ukweli huo waweze kufaidika, Sina lengo la kukashifu sekta zinazohusika na masuala haya , ila nitaweka sayansi ya kweli juu ya Jambo hili .
Baada ya Kufanya Utafiti wangu wa Kina , nikishirikiana na Madaktari mbalimbali ,na kubaini ya kwamba HIV/AIDS ni feki katika kila nyanja, Watu waliotunga uongo huu wa karne miaka ya 1983 walitumia akili ya juu sana kukwepesha sheria za kisayansi na kutumia ujanja wa kisayansi na sayansi ya jamii ili kupenyeza uongo huu kwa jamii kwa manufaa ya biashara zao za madawa...
Uongo huu umejikita katika nyanja kuu 4 na nyaza hizo ni kama ifuatavyo
1.Historia ya HIV/AIDS Imekaa kiungo uongo sana
2.HIV/AIDS hypothesis nazo zimekaa kiungo sana
3.Vipimo vya HIV ndio usiseme ,
4.Madawa ya HIV/AIDS (ARVs)
👉 Sote Tunatambua AIDS/Ukimwi 👉Ni Upungufu wa kinga mwilini au Ukosefu wa kinga za mwili
Na Tatizo hili si geni, lilikuwapo karne nyingi zilizopita kabla haya ya huu ugunduzi feki wa HIV na watu hawakulichukulia kama ni tatizo kubwa. Mtu anapokuwa na ukimwi mwili wake ni rahisi kuingiliwa na magonjwa mbalimbali kama vile malaria, TB, Pneumonia, cancer ,Kisukari, kuharisha nk
Na kwa sababu watu waliokuwa na UKIMWI karne za zamani wao walikuwa wanatibu magonjwa husika na maisha yanaendelea kama kawaida...
Nataka Ufahamu hivi Msomaji Wangu Ukimwi hauui bali ugonjwa unaoingia mwilini kutokana na upungufu wa kinga ndio unaoua, Watu wengi wamejisahau sana kwa kukariri kwamba ukimwi unaua kiasi cha kufikia kuwa na Mazoea isiyoweza kubadilika kirahisi na kuelewa tofauti na jinsi wanavyojua kwamba ukimwi unaua..
FAHAMUNI KWAMBA kinachoua ni ugonjwa unaoingia mwilini kama vile Malaria, TB, Cancer, Pneumonia nk baada ya mtu kuwa na UPUNGUFU WA KINGA MWILINI .Nataka niwahakikishie kwamba Hakuna mtu hata mmoja duniani aliyekufa kwa sababu ya upungufu wa kinga (UKIMWI)
👉Upungufu wa kinga ni hali tu ya kushuka kwa kinga ambayo inasababishwa na mambo mengi sana
Ili mtu apate ukimwi yapo mambo mengi Yanayosababisha Ikiwemo utaratibu mbovu wa maisha kama vile
I/. Ulaji mbovu wa chakula, Kutokuzingatia lishe bora kama vile* kula matunda halisi, mboga za majani zisizoiva sana, dona ,ulezi, mtama, maboga, kunywa maji safi na salama, kuepuka ulaji wa nyama nyekundu mara kwa mara, kuepuka vyakula vilivyosindikwa viwandani, kuepuka unywaji wa vinywaji vyenye sukari nyingi kama vile soda, juisi za viwandani nk
II/. Utumiaji wa mara kwa mara wa madawa ya hospitali kama vile diclofenac, antibiotics, chemotherapy na mionzi kwa wagonjwa wa cancer, ARVs, madawa ya uzazi wa mpango haya yanasababisha Mtu kuwa na UKIMWI nk.
III/. Utumiaji wa madawa ya kulevya, kama caffeine, alcohol, heloin n. k
IV/. Utumiaji wa madawa ya kufanikisha na kuleta hamu ya kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kama vile poppers, Viagra nk.
V/. Unywaji wa pombe kali na zisizo na viwango kupindukia.
VI/. Kutozingatia usafi wa mazingira na kusababisha mlipuko na maambukizi ya magonjwa mara kwa mara nako kunasababisha UKIMWI
VII/. Msongo wa mawazo kwa muda mrefu husababisha UKIMWI
VIII/ Kuugua magonjwa kwa mda Mrefu kama TB, Malaria, Kaswende n. k
ANGALIZO:
Ukimwi hauui,ukimwi ni hali tu ya mabadiliko ya kinga ya mwili. Ili ufe ni lazima ugonjwa fulani (aidha TB, Malaria, Pneumonia, Hepatitis nk) ukuingie mwilini na kukudhoofisha kutokana na upungufu wa kinga ya mwili wako. Bila magonjwa kama haya huwezi ukafa hata kama kinga yako iko chini ya CD4 50, Dr Kary Mullis (mgunduzi wa PCR) yeye mwenyewe anaeleza kwamba CD4 has nothing to do with health of someone, a lot of things can cause CD4 to go down, a lot of things also can cause CD4 to errupt!
Unaona kwamba yapo mambo mengi ambayo husababisha kinga zishuke kama nilivyotaja huko juu AJABU NI KWAMBA kirusi cha HIV (feki) ndo kinabebeshwa mzigo wote wa kuharibu/kushambulia kinga za mwili ilihali kumbe kuna vitu vingine vinavyoweza kusababisha immune kushuka? Utangundua kabisa Dhana ya HIV/AIDS ni ya UONGO
👉 LEO NATOA UTANGULIZI SEHEMU INAYOFUATA , HISTORIA YA HIV/AIDS FEKI ILIVYOUNDWA
MENEMENE TEKERI NA PERESI