M Mtu Poa 2013 Senior Member Joined Mar 26, 2013 Posts 105 Reaction score 65 Jul 10, 2024 #1 Habari zenu. Naulizia kwa anayejua, ni Miche gani unaweza panda kama una eneo lako kwa ajili ya kama uzio au Fensi ambayo ndani ya wiki kadhaa inakuwa ishakuwa Fensi kamili? Ukiacha michongoma inayotumia muda mrefu kuota. Kwa anayejua aniambie
Habari zenu. Naulizia kwa anayejua, ni Miche gani unaweza panda kama una eneo lako kwa ajili ya kama uzio au Fensi ambayo ndani ya wiki kadhaa inakuwa ishakuwa Fensi kamili? Ukiacha michongoma inayotumia muda mrefu kuota. Kwa anayejua aniambie
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 25,191 Reaction score 48,765 Jul 10, 2024 #2 Inategemea na eneo ulilopo. Kila mmea una mazingira yake.