Mimea yangu ya siku 45 inanyauka, nifanye nini kuinusuru?

Mimea yangu ya siku 45 inanyauka, nifanye nini kuinusuru?

Dj toni

Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
30
Reaction score
13
Wakuu msaada mimea yangu ina siku 45 mpaka sasa inajikunja majani na kukauka kabisa. Nifanye nini?
 
Hujazidisha mbolea kweli..? Anyway ngoja wataalum waje.
 
Mimea ya mazao gani? Unalimia wapi?

Miti, maua, mboga, nafaka?? Funguka..
Angalia maji kama ni chumvi pole, utajua hilo kama udongo unatengeneza kitu cheupe juu.

Everyday is Saturday...........................😎
 
Mimea gani? maana kila mmea una sifa zake tofauti na mwingine.
 
Mimea gani? maana kila mmea una sifa zake tofauti na mwingine.
Tikiti mkuu
IMG_20200916_113357.jpg
 
unalima wapi?? hii hutokea kama umwagilianji unakuwa sio sahihi au kama utamwagilia hioni saana kuelekea giza! pia inategemea mbolea uliyotumia katika kukuzia,
 
Back
Top Bottom