Mimi B, X na Y: HITIMISHO

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
Nilianzia hapa kueleza kilichonisibu:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/139650-mimi-b-y-na-x.html

Nawashukuru sana kwa Michango yenu.
Though kuna ambao mlini crash kwa namna flan,thanks lot, i expected that.
Nimeamua ni vyema nikawashirikisha Outcome za Ushauri na mawazo yenu hapa Jamvini.
Inshort, Y amenielewa na Very soooooooooooooon ntampeleka kwa Mama Kum Introduce naye kunipeleka kwao ku do the Same...
 
Mbona X hujamuongelea??Is she out of the picture??

Nwy hongereni ...mfike mbali bila wewe kuongeza kina S, Z, U etc.
 
Mbona X hujamuongelea??Is she out of the picture??

Nwy hongereni ...mfike mbali bila wewe kuongeza kina S, Z, U etc.

Umeshtukia!?? mbona X katolewa kwenye equation bila kupewa feddback?
Umemwambia nini Y kuhusu X mpaka akakubali?
Umwmmwambia nini X kuhusu kwanini umuache?
 
Mbona X hujamuongelea??Is she out of the picture??

Nwy hongereni ...mfike mbali bila wewe kuongeza kina S, Z, U etc.

X nitamueleza,but sitaki kufanya in a hush way coz sitak kumhurt,hope atanielewa
 
Umeshtukia!?? mbona X katolewa kwenye equation bila kupewa feddback?
Umemwambia nini Y kuhusu X mpaka akakubali?
Umwmmwambia nini X kuhusu kwanini umuache?

Nishauri Kaka,nn cha kumwambia X,NAMAANISHA ile flow ya information
 
Sasa na wewe hitimisho gani hili wakati X hujamwambia chochote??

Nasubiri hitimisho rasmi sio hili
 
nampa pole Y bse sielew kind ya mwanaume alyenaye,up 2 now haujamweleza X,wanaume wengne bwana mnajijal 2 wenyewe sasa kaka kwa taarfa OLD IS GOLD,utajuta kuzaliwa atakulaan kwel kwel,na huyo Y nahs Q mwngne atatokea sun naye ataacha,ka mwanaume ZINDUKA NA CHUKUA HATUA.
 
X nitamueleza,but sitaki kufanya in a hush way coz sitak kumhurt,hope atanielewa

Sasa unatoa feedback ya kazi gani kama taratibu zote hujamaliza???Embu kamwambie....uliyofanya mpaka sasa yanatosha kumuumiza kwahiyo usijifanye eti ''sitaki kumhurt''...ungekua hutaki usingewachanganya on the first place!!!Be a real man and do what you gotta do!
 
Dah i feel so sorry for X, sasa km hutaki kumuumiza ilikuwaje ukaanzana na Y? bana hili sio hitimisho km memba wengine walivyosema hapo juu. ila kumbuka what goes around comes back around.
 
Kwanza ili uwe na amani na uyu Y wko ni lazima X ajue ukwel kuwa saiv una mtu mwingine. Ni kweli ataumia lakin ipo siku atakuelewa
 
Boss, umeni touch
 
Dah i feel so sorry for X, sasa km hutaki kumuumiza ilikuwaje ukaanzana na Y? bana hili sio hitimisho km memba wengine walivyosema hapo juu. ila kumbuka what goes around comes back around.
Dah, i feeel Guilty Kaka,umenichoma sanaaaaaaaa
 
Hongera..
uwamuzi wako ni wa haraka sana
na baadaye usejesema mmmhhh

"wanajamvi samahani sana nadhani nilikosea"

nway kila lakheri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…