Ng`wanakidiku
JF-Expert Member
- Apr 18, 2009
- 1,195
- 232
ebwana wee mie nakubaliana nawe...pata yue wa kuja na kusepa zake ila sasa mwana akikisha vile vyombo vyakidhungu vipo ndani...washing mashine, rice cooker deep frier vacum cleaner ili mama asipate ugumu sana.
Tangu nifunge ndoa na mke wangu, yeye amekuwa akisisitiza kuwa na house girl, kila anayekuja anakuwa na vituko vya jabu, na wa mwisho ambaye tumemfukuza jana alikuwa eti ana majini tukisali na kulitaja jina la yesu anasumbuka, eti akawa anaomba tusisali na tukienda church tumuache. Sasa mimi nimemueleza wife tutafute mtu wa kuja kwa kutwa ila yeye eti anasisitiza mpaka mtu wa kuishi naye, unajua namshangaa, na ndiyo utamaduni wa wanawake woote sijui, mambo eti housgirl, housegirl, wanawake mtakoma lini?
hutaki hausigelo
afu usiku unataka pafomensi ile ile
afu wewe inaonekana ni mna faza, kazi za home is a taboo
unanishangaza.
Hausi gelo muhimu

Ukiwa na mfanya kazi za ndani hata kama huna pesa sana na wewe unakua boss.Mimi kama mimi sifagilii kabisa haya mambo ya kuwa na 'housegirl' na huwa sieleweki na wengi humu kwa nini nina msimamo huo.
Kwanza sipendi kutumikisha wengine. Maadili yangu yananikataza kabisa. Naonaga hao wasaidizi wa ndani kama huwa hawatendewi kwa haki.
Pili, yote anayofanya huyo 'housegirl' nami naweza kufanya. Napika, nasafisha, nafua nguo, napiga pasi....you name it, I do it.
So why hire someone to do my house chores when I can do them myself they way I want to? I see no need to!
Tatu, unaweza kuta mtu hana hata familia, labda yupo yeye na mumewe tu lakini eti ana 'housegirl' nyumbani. Really? What for? I guess maybe having one is a status symbol or something.
Ukiwa na mfanya kazi za ndani hata kama huna pesa sana na wewe unakua boss.
Kama hamna watoto mnaweza ishi bila.Yani hata huyo wa kuja anakua sio wa kila siku bali mara chache ndani ya wiki kuwasaidia kufanya usafi labda na kufua.Chakula na vyombo vyenu mnashughulikia wenyewe.
I know,it's bad. But then what can we do?Wenyewe wana shida ya pesa na wengine wanahitaji watu wakuwapelekesha.And I hate bossing people around because I don't like being bossed around!
Have you seen how some of these maids get treated? It's shameful!
I know,it's bad. But then what can we do?Wenyewe wana shida ya pesa na wengine wanahitaji watu wakuwapelekesha.
Ndo maana angalau wafanye yule wa kuja na kuondoka.Lakini Lizzy, kama hamna watoto maid wa nini tena? Hamuwezi kufanya usafi wenu wenyewe?
Mimi naamini kabisa mnaweza. Ni kiasi cha kufanya time management nzuri tu na hakuna litakalowashinda.
Lakini na mwanamume si anapafomu? Tena nguvu inayotumia kwa bao 1 ni sawa na kutembea km 7! Fikiria atakapo piga bao 3 na zaidi....hutaki hausigelo
afu usiku unataka pafomensi ile ile
afu wewe inaonekana ni mna faza, kazi za home is a taboo
unanishangaza.
Hausi gelo muhimu
Mimi kama mimi sifagilii kabisa haya mambo ya kuwa na 'housegirl' na huwa sieleweki na wengi humu kwa nini nina msimamo huo.
Kwanza sipendi kutumikisha wengine. Maadili yangu yananikataza kabisa. Naonaga hao wasaidizi wa ndani kama huwa hawatendewi kwa haki.
Pili, yote anayofanya huyo 'housegirl' nami naweza kufanya. Napika, nasafisha, nafua nguo, napiga pasi....you name it, I do it.
So why hire someone to do my house chores when I can do them myself they way I want to? I see no need to!
Tatu, unaweza kuta mtu hana hata familia, labda yupo yeye na mumewe tu lakini eti ana 'housegirl' nyumbani. Really? What for? I guess maybe having one is a status symbol or something.
Umenena vizuri. Nadhani wakati mwingine ni uzembe. Tena utakuta wanawake wanashindana eti nina msichana wa kazi, yaani unamtumikisha mtoto wa watu kwa elfu30! Ni aibu kwa wasomi.Mimi kama mimi sifagilii kabisa haya mambo ya kuwa na 'housegirl' na huwa sieleweki na wengi humu kwa nini nina msimamo huo.
Kwanza sipendi kutumikisha wengine. Maadili yangu yananikataza kabisa. Naonaga hao wasaidizi wa ndani kama huwa hawatendewi kwa haki.
Pili, yote anayofanya huyo 'housegirl' nami naweza kufanya. Napika, nasafisha, nafua nguo, napiga pasi....you name it, I do it.
So why hire someone to do my house chores when I can do them myself they way I want to? I see no need to!
Tatu, unaweza kuta mtu hana hata familia, labda yupo yeye na mumewe tu lakini eti ana 'housegirl' nyumbani. Really? What for? I guess maybe having one is a status symbol or something.
Mimi ni mhasibu mama ni mchumi! muda wa kurudi home ni saa 4:30pm kwa wote. Huwa nipo tayari kumasaidia ila sema anapokuwepo housegirl nashindwa kumsaidia. ila napenda kumsaidiamna watoto? Mkeo anafanya kazi? Anatoka saa ngapi? Unamsaidia mkeo kazi za nyumbani? Anapata muda wa kupumzika? Kama mke anakazi mkitoka kwenda job au outings usalama wa nyumba yenu ukoje?