Mimi bado sijaona chama mbadala cha kuiongoza nchi tofauti na CCM

Ukweli usemwe hata Chadema sio wasafi
Si ndio vizuri Sasa Kwa kua sio wasafi wapelekeni mahakamani Kwa uchafu wao,halafu na sisi tuwapeleke nyinyi mahakamani Kwa Ufisadi wenu.
Maana uhusiano wa CCM na Ufisadi ni sawa na uhusiano wa uji na mgonjwa.
 
Wapelekwe mahakamani na nani wakati hela wanazopewa zinatoka Ccm hanaowatukana kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…