Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
habari zenu wa jukwaa!!
bila kusita, naomba nitoe request kwa mzee wa sukari ya warembo, the platinumz, the number one of beatifullz afanye hili!
diamond, dini yetu inaruhusu kabisa kuwa na wake zaidi ya wanne!! basi mimi binafsi nakushauri uwaweke ndani warembo hawa ili wawe wako wa milele kuliko kuwa unawazunguka tu kila siku!!
1. Wema sepetu.
2. jackline wolper.
3. penny mwingilwa
4. jokate mwegelo!
halafu baadae tafuta nyumba ndogo kama nne hivi ili uendelee kusambaza dozi!
naomba tena nisuggest small house..
formation iwe hii
1. irene uwoya.
(malizieni wengine watatu)
.........
fanya hivyo besti angalau uache damu tuione!!!!
si unajua tena mafreemason wanaweza kukubeba!!